Tushaanza kulifumua nyuzi....La kwangu halichaniki
Game nzuri so far Brazil wanatishia zaidi
nmeona mkuu, ila sioni Head To Head details za timu husika chiefHiyo Sofascore iko poa sana, kila aina ya mchezo ipo.
Mpira bado haujaishaTushaanza kulifumua nyuzi....
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpira bado haujaisha
bado mapema [emoji23]Mpira bado haujaisha
[emoji23]Tobaaaaaa
Mfyuuuu[emoji23][emoji23]
Tulia braza kaka,.mbona mapema badooo...bao la kwanza hujui mzuka wake?leo bikira ya brazil inatolewa[emoji23]
Bado muda usiwazeTobaaaaaa