Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

mm chama lang kwanza timu zoye za africa ata kama zikitoka zote then France japo wameboa kwa kuwaacha mafund kama Payet..Coman...Debuchy nk
 
Kuna kipindi nchi za Scandinavian zilikuwa zinapiga sana boli. Sijui sasa hivi zimekuaje.
 
Sweden walikua ni moto mkuu,enzi za kina Ljunberg na Henrik larsson.
Ljunberg huyu jamaa jina lake huwa nashindwa kulitamka tangu kipindi alichokuwa arsenal kama sikosei. Denmark nao walikuwa wamoto.
 
Nawaona mabingwa wa kuchambua Mpira kwa mdomo England, ashukuru Mungu timu alizopangiwa atatoboa. Kwa upande wa Senegal kundi alilopo lina ushindani kwa kiasi chake.
 
Ljunberg huyu jamaa jina lake huwa nashindwa kulitamka tangu kipindi alichokuwa arsenal kama sikosei. Denmark nao walikuwa wamoto.
Uko sahihi Fredrik Ljungberg alikua Arsenal na alishinda 2 EPL na 3 FA cup na Arsenal,pia alikua ni captain wa national team ya Sweden.
 
Nipo Korea Kusini Ifamike Hivyo


  1. ๊น€์Šน๊ทœ = Kim Seung gyu
  2. ๊น€์ง„ํ˜„ = Kim Jin-hyun
  3. ์กฐํ˜„์šฐ = Cho Hyun-woo
  4. ๊ณ ์š”ํ•œ = ko Yohan
  5. ๊ถŒ๊ฒฝ์› = Kwon Kyung won
  6. ๊น€๋ฏผ์šฐ = kim min woo
  7. ๊น€์˜๊ถŒ = Kim Young-kwon
  8. ๊น€์ง„์ˆ˜ = kim jin soo
  9. ๋ฐ•์ฃผํ˜ธ = park joo ho
  10. ์˜ค๋ฐ˜์„ = Oh Ban suk
  11. ์œค์˜์„  = Yoon Yeoung Seon
  12. ์ด์šฉ = Lee Yong
  13. ์žฅํ˜„์ˆ˜ = Jang Hyun soo
  14. ์ •์Šนํ˜„ = Jung Seung Hyun
  15. ํ™์ฒ  = Hong Chul
  16. ๊ตฌ์ž์ฒ  = Koo Ja cheol
  17. ๊ถŒ์ฐฝํ›ˆ = Kwon Chang hoon
  18. ๊ธฐ์„ฑ์šฉ = Ki Sung yueng (swansea city)
  19. ๋ฌธ์„ ๋ฏผ = Moon Sun min
  20. ์ด์Šน์šฐ = Lee Seung woo
  21. ์ด์žฌ์„ฑ = Lee Jae sung
  22. ์ด์ฒญ์šฉ = Lee Chung yong
  23. ์ •์šฐ์˜ = Jeong Woo young
  24. ์ฃผ์„ธ์ข… = Ju Se jong
  25. ๊น€์‹ ์šฑ = Kim Shin wook
  26. ์†ํฅ๋ฏผ = son heung min (tottenham hotspurs)
  27. ์ด๊ทผํ˜ธ = Lee Keun ho
  28. ํ™ฉํฌ์ฐฌ = Hwang Hee chan
 
Hatari! Sana Kama Yale Makombora Ya Korea Kaskazin,
 
Naona Korea mpo mpo humu.Naona mmependa vita huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ