Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spain wametangaza kikosi chao na wacheza Cesc Fabregas, Hector Bellerin, Marco Alonso,Ander Herrera na Alvaro Morata hawamo.
Meneja Julen Lopetegui amechagua wachezaji 23 wakiwamo wane kutoka kwenye ligi ya Uingereza ambao ni David de Gea, Cesar Azpilicueta, Nacho Monreal na David Silva.
Kikosi kamili cha Spain:
Makipa: David de Gea, Pepe Reina, Kepa Arrizabalaga
Walinzi: Dani Carvajal, Alvaro Odriozola, Gerard Piqué, Sergio Ramos, Nacho, Cesar Azpilicueta, Jordi Alba na Nacho Monreal
Wachezaji wa kiungo: Sergio Busquets, Saúl, Koke, Thiago Alcantara, Andres Iniesta na David Silva
Washambuliaji: Isco, Sergio Asensio, Lucas Vázquez, Iago Aspas, Rodrigo na Diego Costa
Team Argentina, ntanunua na UziTeam ARGENTINA chini ya KING MESSI .
Mia sang miaWatoto wa Hitler, komm deutsch.
We jamaa unapenda korea![]()
![]()
- 김승규 = Kim Seung gyu
- 김진현 = Kim Jin-hyun
- 조현우 = Cho Hyun-woo
- 고요한 = ko Yohan
- 권경원 = Kwon Kyung won
- 김민우 = kim min woo
- 김영권 = Kim Young-kwon
- 김진수 = kim jin soo
- 박주호 = park joo ho
- 오반석 = Oh Ban suk
- 윤영선 = Yoon Yeoung Seon
- 이용 = Lee Yong
- 장현수 = Jang Hyun soo
- 정승현 = Jung Seung Hyun
- 홍철 = Hong Chul
- 구자철 = Koo Ja cheol
- 권창훈 = Kwon Chang hoon
- 기성용 = Ki Sung yueng (swansea city)
- 문선민 = Moon Sun min
- 이승우 = Lee Seung woo
- 이재성 = Lee Jae sung
- 이청용 = Lee Chung yong
- 정우영 = Jeong Woo young
- 주세종 = Ju Se jong
- 김신욱 = Kim Shin wook
- 손흥민 = son heung min (tottenham hotspurs)
- 이근호 = Lee Keun ho
- 황희찬 = Hwang Hee chan
Mi sio chelsea ila kumwacha Marco Alonso sio poa.Spain wametangaza kikosi chao na wachezaji Cesc Fabregas, Hector Bellerin, Marco Alonso,Ander Herrera na Alvaro Morata hawamo.
Meneja Julen Lopetegui amechagua wachezaji 23 wakiwamo wanne kutoka kwenye ligi ya Uingereza ambao ni David de Gea, Cesar Azpilicueta, Nacho Monreal na David Silva.
Kikosi kamili cha Spain:
Makipa: David de Gea, Pepe Reina, Kepa Arrizabalaga
Walinzi: Dani Carvajal, Alvaro Odriozola, Gerard Piqué, Sergio Ramos, Nacho, Cesar Azpilicueta, Jordi Alba na Nacho Monreal
Wachezaji wa kiungo: Sergio Busquets, Saúl, Koke, Thiago Alcantara, Andres Iniesta na David Silva
Washambuliaji: Isco, Sergio Asensio, Lucas Vázquez, Iago Aspas, Rodrigo na Diego Costa
Team Argentina, ntanunua na Uzi
Ila naomba ifahamike, Brazil n team ya dunia
Hii attacking line ni ya kawaida sana. Hapo kati ndio wapo vizuri. Hapa alitakiwa Morata sababu yeye ni cleanical finisher. Natural no 10.Spain wametangaza kikosi chao na wachezaji Cesc Fabregas, Hector Bellerin, Marco Alonso,Ander Herrera na Alvaro Morata hawamo.
Meneja Julen Lopetegui amechagua wachezaji 23 wakiwamo wanne kutoka kwenye ligi ya Uingereza ambao ni David de Gea, Cesar Azpilicueta, Nacho Monreal na David Silva.
Kikosi kamili cha Spain:
Makipa: David de Gea, Pepe Reina, Kepa Arrizabalaga
Walinzi: Dani Carvajal, Alvaro Odriozola, Gerard Piqué, Sergio Ramos, Nacho, Cesar Azpilicueta, Jordi Alba na Nacho Monreal
Wachezaji wa kiungo: Sergio Busquets, Saúl, Koke, Thiago Alcantara, Andres Iniesta na David Silva
Washambuliaji: Isco, Sergio Asensio, Lucas Vázquez, Iago Aspas, Rodrigo na Diego Costa
Hii attacking line ni ya kawaida sana. Hapo kati ndio wapo vizuri. Hapa alitakiwa Morata sababu yeye ni cleanical finisher. Natural no 10.
Shauri yao. Sie TeamArgentina tupo full masinonda.