Ndio hivyo yani, wanachana mikeka ya watu hawa.Wee brazil wamelala mbili kweli?
Afadhali.. Belgium toa hao samba warudi nyumbaniUbelgiji 2-0 Brazil
Wewe upo team gn hivi.
Nilikua portugal na spain zilipotoka nimehamia france. Wewe je?
Namshauri awe Mzalendo.Ufaransa Vs Ubelgiji
Itakuwa mechi ngumu kwa Thiery Henry sijui atashabikia timu gani?
hahaa banda zima watakuwa mashabiki wa brazilMh, mbona sisikii watu wakishangilia