Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa, ila wanashambulia sanaUnaona Neymar anavyojiangusha, bahati refa amebaini
Anajiaharibu .. kila mtu anajua uwezo wa Neymar.Neymar ni hasara
Anashindwa kujua apambane vipi kulingana na mchezo husikaUnaona Neymar anavyojiangusha, bahati refa amebaini
Wee hebu muache anipe raha mieKwa hali hii huyu Mbape hafai kuendelea kuwepo kwenye WC kabisaa.
Yaani uuze Drama Queen, ununue Drama Queen. Huyu hatufai huyu.
Brazil pandeni ndege mrudi kwenuBaada ya dk 90 ndio ntaamin hichi nnacho kiona uwanjan
Matokeo vp jmn nipo mbali na banda la kideoLukaku against Miranda!! Moja ya vivutio vya mechi hii
Matokeo vp jmn nipo mbali na banda la kideo
Hilo tulifanye liwe jambo la ziada, hapa tutafute ushindi tu bila kujali nani anatikisa nyavuMwalukaku hataki kabisa kumfikia kane..hii ndio game nyepesi yakutupia
Ndo kawaida yake huyo dogo cjui kabemendwaUnaona Neymar anavyojiangusha, bahati refa amebaini
Brazil kama Misosi Fc ya ndondo cupBrazilians are annoying, yaani kila baada ya dakika 3 wanaomba penalty, mpira gani huu
Hahaha sawaaWee hebu muache anipe raha mie