Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Brazil wametumia viungo na washambuliaji wakiacha walinzi 3. Belgium wametumia mwanya huyo kufanya counter attack. Pamoja na hayo, Belgium wamebaini udhaifu wa golkipa wa Brazil
Beki ya Brazil inakatika kwasababu viungo wanakwenda mbele tofauti na siku za nyuma

Ukiangalia kama goli litapatikana kwa Brazil litaanzia kwa William, yupo effective na ana cross nzuri sana. Neymar ni hatari hasa kwa kujiangusha na penalty inaweza kutokea

Belgium wakiendelea kushambulia wanaweza kushinda.
Wakirudi nyuma kulinda itakuwa kosa kubwa sana ikizingatiwa ni Brazil
 
Back
Top Bottom