Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,787
- 45,257
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa akina lukaku wametulaza na viatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa akina lukaku wametulaza na viatu
Mkuu kwa sasa Mimi hapana, natizama kwa starehe tu. Nilipotoka mpaka nilipofikia namshukuru Mungu.Mie huwa nakuaga na timu moja tu Brazil pekee yake ktk WC,mpira naupenda mno ,cz nimewahi kuonja matunda yake Mkuu japo kdg
Croatia ni ulaya pia hivyo ni rasmi limebaki ulaya.Sasa n must kombe lmeendea kubak
Europe maana kesho najua Croatia
Akimbwela anang'oka
ProbablyYule Paulinho kapoteza nafasi nyingi sana aisee .....costa mnyama angeanza tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi
uzi wako umefeli mkuu et eee jaribu tena mkuu*MAAJABU YA ROBO FAINALI YA FIFA WORLD CUP 2018*
Mechi ni...
FRANCE vs URUGUAY
BRAZIL vs BELGIUM
SWEDEN vs ENGLAND
RUSSIA vs CROATIA
*SASA ONA MAAJABU...*
FRANCE ina herufi 6
URUGUAY ina herufi 7
BRAZIL ina Herufi 6
BELGIUM ina Herufi 7
SWEDEN ina herufi 6
ENGLAND ina Herufi 7
RUSSIA ina herufi 6
CROATIA ina herufi 7
Mechi zitachezwa tarehe 6 & 7 July
kwa ufupi ni 6 vs 7
... Usipokuwa na imani strong utajua *Free Mansons* wanaendesha world cup!
Ajabu zaidi... team zote zilizo upande wa kushoto katika kila mechi ambazo zilianza kuingia robo fainali zina herufi 6 afu za upande wa kulia ndo zina herufi 7...
Wazee wa ku-bet chukueni hii
[emoji116]
Leo ni tar 6 timu zenye herufi 6 (France and Brazil) zitashinda,, kesho ni tar 7 timu zenye herufi 7 (England na Croatia) zitashinda
#Sa iv sitaki kutabiri kwa kutumia utashi,, nipo kifreemanson zaidi!
Oooh shukran mkuu nlikuaCroatia ni ulaya pia hivyo ni rasmi limebaki ulaya.
Bingwa wa maneno dhidi ya vitendo a.k.a England bado hajakutana na timu ngumu. Na mpira wake wa kukariri ule akifikia pembeni lazima apige krosi. Hata kesho yenyewe akikaziwa anaweza akapotea.Atoke na mwingereza kisha nianze kuangalia kombe la dunia kwa amani.
Mie siku hz ndio nimeanza kupunguza,umri umeendaMkuu kwa sasa Mimi hapana, natizama kwa starehe tu. Nilipotoka mpaka nilipofikia namshukuru Mungu.
Jitahidi mkuu, kwa sababu mpira unaumiza moyo. Unaweza usiongee na mtu.Mie siku hz ndio nimeanza kupunguza,umri umeenda
kwani unaangalia WC ipi wewe?Sory jamani hivi hili kombe la dunia wachezaji wa arsenal hawaruhusiwi kucheźa manake siwaoni
Huyu Costa itabidi timu kubwa zimpandishie dau.Yule Paulinho kapoteza nafasi nyingi sana aisee .....costa mnyama angeanza tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi
Mkuu mkeka wako upo vizur brazil kalizwaMimi haijalishi wacheze vipi, nimetandika kwa ujumla.
Akishindwa yeye kuperform ataperform mwingine, ngoma inaenda mbele
KapigwaMkeka umechanikaaaa
Movie kwangu ndiyo burudani kwa sasa kama unaifahamu horror movie ilyoshindikana nitajie niangalie YouTube sasa hivi.Eti! Aaa ah! kuumbe! movie nzuri kwakweli
Mkeka umechanikaaaa