Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Mie huwa nakuaga na timu moja tu Brazil pekee yake ktk WC,mpira naupenda mno ,cz nimewahi kuonja matunda yake Mkuu japo kdg
Mkuu kwa sasa Mimi hapana, natizama kwa starehe tu. Nilipotoka mpaka nilipofikia namshukuru Mungu.
 
uzi wako umefeli mkuu et eee jaribu tena mkuu
 
Atoke na mwingereza kisha nianze kuangalia kombe la dunia kwa amani.
Bingwa wa maneno dhidi ya vitendo a.k.a England bado hajakutana na timu ngumu. Na mpira wake wa kukariri ule akifikia pembeni lazima apige krosi. Hata kesho yenyewe akikaziwa anaweza akapotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…