Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Belgium walijamba Kwa Mjapan itakuwa Kwa Mbrazil?

Umeiona sasa? Niliangalia timu zote zinavyocheza kwenye round of 16 nikapima udhaifu na uimara wake ndiyo maana nikatoa utabiri huo. Subiri kesho unone tena mambo yakavyotokea.

Brazil walimiliki mpira sana na walishambulia sana lakini ukilinganisha na jinsi beki ya Ubelgiji ilivyowadhiti yanakuja yale yale ya Spain na Russia na ya Uruguay na Portugal. Forward line ya Ubelgiji ni ya haraka na yenye mbio za kasi kushinda mabeki nwa Brazili, ndiyo maana ikabidi beki ya Brazili iwe inatumia sana nguvu za kuwasukuma na kuwabana foward line wawili wawili.

Ubovu mkuu wa timu ya Ubelgiji ni midfielders; yaani wanashindwa sana kusukuma mipira iende mbele. Unawaona wakati mwingi sana wanarudisha mipira kwenye lango lao badala ya kupeleka mipira mbele. Sababu mojawapo ya Brazili kuilemea sana Ubelgiji kipindi cha mwishoni ni kwa sababu ya hao midfielders kushindwa kupeleka mipira mbele.
 

Only 90 minutes kazeheka hivyo!!!! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yule Paulinho kapoteza nafasi nyingi sana aisee .....costa mnyama angeanza tungekuwa tunaongea mengine sasa hivi

Acha kujipa moyo mkuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ "tungekuwa" ndiyo nini? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ poleni sana...next time tukiwa hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…