Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Nawahi nafasi ya 3 hapa nikiwa nasubiri game lianze mwez wa 6
 
Spain wametangaza kikosi chao na wachezaji Cesc Fabregas, Hector Bellerin, Marco Alonso,Ander Herrera na Alvaro Morata hawamo.

Meneja Julen Lopetegui amechagua wachezaji 23 wakiwamo wanne kutoka kwenye ligi ya Uingereza ambao ni David de Gea, Cesar Azpilicueta, Nacho Monreal na David Silva.

Kikosi kamili cha Spain:

Makipa: David de Gea, Pepe Reina, Kepa Arrizabalaga

Walinzi: Dani Carvajal, Alvaro Odriozola, Gerard Piqué, Sergio Ramos, Nacho, Cesar Azpilicueta, Jordi Alba na Nacho Monreal

Wachezaji wa kiungo: Sergio Busquets, Saúl, Koke, Thiago Alcantara, Andres Iniesta na David Silva

Washambuliaji: Isco, Sergio Asensio, Lucas Vázquez, Iago Aspas, Rodrigo na Diego Costa
 

Hatari sana hawa jamaa..

ARGENTINA SPAIN GERMANY kombe linawahusu
 
Huwez ukaingia WC alafu tmu yako iwe Brazil tu apo n kudanganyana au umejua mpira juz
Brazil n tmu ya dunia, apart from Brazil nategemea kila mtu awe na tmu yake
Tmu zaid ya tatu haikubalik, et mtu anashabikia england na German how come????
 
We jamaa unapenda korea
Nimekuaminia
 
katika kuhakikisha hutapitwa na chochote kitachojiri kwenye kombe la Dunia tumekuletea app ambayo itakuwezesha kutazama kombe hilo Mubashara kwenye simu yako idownload hapa
 

Attachments

Utabiri wangu: last 16

Spain, Portugal, Germany, Sweden, Argentina, Brazil, Egypt, France, Russia, Poland, Uruguay, Switzerland, Peru, Croatia, Japan, Belgium,
 
Mi sio chelsea ila kumwacha Marco Alonso sio poa.
 
Hii attacking line ni ya kawaida sana. Hapo kati ndio wapo vizuri. Hapa alitakiwa Morata sababu yeye ni cleanical finisher. Natural no 10.

Shauri yao. Sie TeamArgentina tupo full masinonda.
 
Hii attacking line ni ya kawaida sana. Hapo kati ndio wapo vizuri. Hapa alitakiwa Morata sababu yeye ni cleanical finisher. Natural no 10.

Shauri yao. Sie TeamArgentina tupo full masinonda.

Morata ameshindwa kung'ara kwenye ligi ya Uingereza kwa kufunga magoli 11 tu.

Na hata Antonio Conte akaamua awe anamuingiza kipindi cha pili.
 
Goalkeepers: David de Gea, Pepe Reina, Kepa Arrizabalaga

Defenders: Dani Carvajal, Alvaro Odriozola, Gerard Piqué, Sergio Ramos, Nacho, Cesar Azpilicueta, Jordi Alba, Nacho Monreal

Midfielders: Sergio Busquets, Saul, Koke, Thiago Alcantara, Andres Iniesta, David Silva

Forwards: Isco, Marco Asensio, Lucas Vazquez, Iago Aspas, Rodrigo, Diego Costa

tukutane hapa

Marcos alonso,faby,morata wamepigwa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…