Jinga sana SterlingHuyo mwendawazimu, kisha wanyima wenzake goli, sababu ya uchoyo wake.
Uwe mpole tu leo usije ukafanya maamuzi ya ajabuEngland leo inatolewa
huyu jamaa ni fala sana,kwenye mazingira ya yeye kutoa pasi ili goli lipatikane wasonge mbele yeye anang'ang'ania kupambana na mabeki watatu!!Ikitolewa tuzo ya waliokosa magoli mengi Sterling anachukua.
Kakosa goli la wazi sana ni aibu ile.Anaudhi huyo we subiri tu
Huyu dogo anachezaga kifala sanaIkitolewa tuzo ya waliokosa magoli mengi Sterling anachukua.
Huyo kawaida yake siku zotehuyu jamaa ni fala sana,kwenye mazingira ya yeye kutoa pasi ili goli lipatikane wasongebele yeye anang'ang'ania kupambana na mabeki watatu!!
Kocha wake nae ni fala,anasubiria nini badala ya kumpiga chini fasta?!!Huyo kawaida yake siku zote
Huyo liveri alikua anatuudhi mpk basiKakosa goli la wazi sana ni aibu ile.
Labda anasubiri mpaka wafungweKocha wake nae ni fala,anasubiria nini badala ya kumpiga chini fasta?!!
Kakosa goli la wazi sana ni aibu ile.
Halafu kn bahati ya kupangwa first 11Huyu dogo anachezaga kifala sana
Kuna commentator kasema: it is frustration game to watch!! kisa huyu dogo[emoji28][emoji28][emoji28]Huyu dogo anachezaga kifala sana
Huyu atoke tuu.Huyo liveri alikua anatuudhi mpk basi
Baadhi ya makocha akili zao wanazijua wenyeweHalafu kn bahati ya kupangwa first 11
Hata kule man city bado anaendelea na upuuzi wakeHuyo liveri alikua anatuudhi mpk basi
Easy games???? je tough games ni against timu zipi?
Mbappe nimemtaja nimemwakiliksha kwa akiongeza juhudi atafika mbali. Kiuhalisia bado kijana anasafari ndefu. Argentina haikuwa na beki nzuri ilkuwa haki yake kuinyayasa na mbio zake zile damn jamaa ni Usain Bolt wa kwenye mpira.Nimesikitika sana sababu umemwacha mbappe kwenye list yako