successor
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 3,083
- 6,139
Hahahaha anaudhi sana aisee!!!Kuna commentator kasema: it is frustration game to watch!! kisa huyu dogo[emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha anaudhi sana aisee!!!Kuna commentator kasema: it is frustration game to watch!! kisa huyu dogo[emoji28][emoji28][emoji28]
Sisi 1-0 SwedenUbao unasomekaje mkuu
Braza una maana gani unaposema easy games??
hizo tight games ni zipi???
Russa V Spain.....Germany V South Korea kama nimekuelewa vizuri kwako hizi ndio zilikuwa game ngumu isn't???
kama kombe la dunia lingekuwa rahisi hivyo leo hii Netherland, USA na Italy tungewaona humu.
Taja game ngumu England aliyokutana nayo.Braza una maana gani unaposema easy games??
hizo tight games ni zipi???
Russa V Spain.....Germany V South Korea kama nimekuelewa vizuri kwako hizi ndio zilikuwa game ngumu isn't???
kama kombe la dunia lingekuwa rahisi hivyo leo hii Netherland, USA na Italy tungewaona humu.
Kweli kabisa,upande huu wa England na Sweden haujachangamka kabisaHivi waliopanga yale makundi walikuwa wametafuna bhange au?
Mbona mechi za upande mwingine huwa kali na za kuvutia ila hizi za England zimepooza namna hii?
Seriously nimeanza kuangalia mpira baada ya dkk ya 15 maana nilijua tu unaboa,nimefika imebidi nichati tu nashangaa HT!
Uwanja umeinama, mpira unachezwa upande mmoja.Hivi waliopanga yale makundi walikuwa wametafuna bhange au?
Mbona mechi za upande mwingine huwa kali na za kuvutia ila hizi za England zimepooza namna hii?
Seriously nimeanza kuangalia mpira baada ya dkk ya 15 maana nilijua tu unaboa,nimefika imebidi nichati tu nashangaa HT!
Kwa sababu wao wanapoteza nafasi za wazi wataadhibiwa na Sweeden muda siyo mrefu!!Hahahaha anaudhi sana aisee!!!
Eti eenhHakuna mwenye imani na time ya England zaidi ya Waingereza wenyewe
Mchezaji hewa wa England..ile ilikuwa nafasi ya goli ila akaweka ukilaza mbele.Sterling bonge la kilazer, kiwango cha standard gauge.
Team England
Andy Townsend ma Dwight York wamenoreka lweli ma hii gemu nao, hasa sweeden kuwa wanacheza mpira wa kiwango kibovu kabisa.Kuna commentator kasema: it is frustration game to watch!! kisa huyu dogo[emoji28][emoji28][emoji28]
Hana mpira zaidi ya huo England. Mpira wake ni wa kukariri tu. Umeona Marcos kichwa chake hicho wa Sweden? Wakikomaa England atachezea. Huwa hawajui mpira hawa jamaa labda vile muunganiko wa visiwa vyake.Yaani england game plan yao ni kros kros kros kros!
Mlitaka Sweden ikutane na timu gani?Croatia ndio itakuwa mwisho wa England, hizi dodging za FIFA ndio zitafikia ukingoni
Hahahaaaaaa!Njia aliyopita Liverpool mpaka anafika fainali za Champions league, ndio hiyo hiyo inapitia timu yao ya taifa. Hii ni kampeni ya kuirudisha England kwenye ramani ya football.
Upande ulikuwa safi sema timu nzuri zilicheza pumba Spain kutolewa na RussiaHivi waliopanga yale makundi walikuwa wametafuna bhange au?
Mbona mechi za upande mwingine huwa kali na za kuvutia ila hizi za England zimepooza namna hii?
Seriously nimeanza kuangalia mpira baada ya dkk ya 15 maana nilijua tu unaboa,nimefika imebidi nichati tu nashangaa HT!
Upo sahihi mkuuMpaka sasa hii ndio the most booring knock out match ya 2018 world cup.