Asante sana, nawe pia hongera mkuu.Bro congratulations!
Fanally, Hah hahHii presha Russia hawawezi kuimudu
Hii nitajibu pengala mwisho likipulizwaAsante sana, nawe pia hongera mkuu.
Hahaha tumemuonaaaaJamani mmemuona President wa Croatia ?
Tunawatoa hawa mkuu, ondoa shaka.Hi nitajibu Nitajibu pengala mwishi likipulizwa
Hahaha tumemuonaaaa
Haraka haraka.....Urusi wanacheza kwa kujituma zaidi unaona kuna kitu wanakitafuta,lakini hawa Croatia looh hawana uharaka kabisa
Croatia ni talent wako vzr pia ki mbinu,tofauti na Russia wao ni mbinu talent hawanaFanally, Hah hah
Napenda kuamin hivyo, ila Mrusi roho ya paka hawa.Tunawatoa hawa mkuu, ondoa shaka.
[emoji41]Russia anachapwa chief
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Russia piga hao
Mrusi roho ya paka ,ttz hana watu wenye uwezo binafsi ,km CroatiaNapenda kuamin hivyo, ila Mrusi roho ya paka hawa.