Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaionaje hii timu.Acha wanga asbh yote hii
Acha kuwangaFrance leo anapigwa mapemaaaa...huu mziki wa Belgium mzito sana.
Wapi leo Mzee mwenzangu?!Nipo rafiki ,karibu tuangalie kipute
Nimeshaanza kupata tabu mkuuUtapata tabu sanaaaaaa
Woozzerrrr neibaa[emoji111]Karibu France
Wapo, ila wamejificha mahali, utawaona mkipata goliLeo [HASHTAG]#TeamBelgium[/HASHTAG] tupo wachache sana hapa! Tadhalini lets stick together.
Pamoja Sanaaa,.Leo nipo Ufaransa
[emoji16]mimi mwenyewe siku ya France na Uruguay nilijikuta nipo ufaransa kisa mkaka mmoja hivi sijui anaitwa nani ila alifunga goli la pili mambo haya yapo kwa wanawake wengi
Nakula kwa macho five star boy sio mchezo.mwenzio nimeshipita huko YouTube kuangalia wachezaji mahandsome wa michuano ya mwaka huu!!
Kauzwa leo mkuu kwa euro 105 milAisee..kumbe Ronaldo kauzwa leo Juventus. Ndio nasikia hapa mtangazaji.
Am very sory .. ila kitu kimoja na ahidi France wins you no longer Single.Acha wanga asbh yote hii