Yeah! ameshaondoka BernabeuAisee..kumbe Ronaldo kauzwa leo Juventus. Ndio nasikia hapa mtangazaji.
Hakuna goliHizi kona mm zitanipa pleshaa kama sio mgandamizo
Mie niko mbali kdg,we mwenzanguWapi leo Mzee mwenzangu?!
Wapo, ila wamejificha mahali, utawaona mkipata goli
[emoji23] [emoji23] kuna wachezaji mahandsome mnoo tukatae tukubalimwenzio nimeshipita huko YouTube kuangalia wachezaji mahandsome wa michuano ya mwaka huu!!
Tuko na rais wetu leo dimbaniMie niko mbali kdg,we mwenzangu
Tuko pamoja hata hatujajifichaNadhan timu inatia Tumaini. Pls time is now [HASHTAG]#GoBelgium[/HASHTAG]!!
Mkuu, leo Belgium anaumiaNadhan timu inatia Tumaini. Pls time is now [HASHTAG]#GoBelgium[/HASHTAG]!!
Uko France? Mie hii mechi natazama ufundi tu, siko popoteTuko na rais wetu leo dimbani
Karibu sana, nmefurahi.Tuko pamoja hata hatujajificha
Yapayap,.mafundi katika ufundi waoUko France? Mie hii mechi natazama ufundi tu, siko popote
It doesnt matter
Mkuu, leo Belgium anaumia
NaamYapayap,.mafundi katika ufundi wao