Henry leo hana cha kupoteza, yeyote tu ashinde, ana maslahi kote kote.Henry kafurahi rohoni martnez kaumia
[emoji23][emoji23][emoji109]Ooh Good to know, though
Hongera rafiki ,agiza kadhaa hapo ulipo nakuja kulipaDakika 58 mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]fayaaa kiti cha moto nyumba ya jiranii
Imenifurahisha sana jamaa black kufanya hii kitu ktk hii hatua waliyofikia.na bado wanakuja kama nyuki.Umtiti kaanza kupiga mititi yake sasa
Mkuu henry akitimuliwa atarud nyumbanHenry leo hana cha kupoteza, yeyote tu ashinde, ana maslahi kote kote.
Waitress nletee Heineken, sitaki hangover asubuhi mm...Hongera rafiki ,agiza kadhaa hapo ulipo nakuja kulipa
Yupo mkuu ndo mana wanaongoza kwa kuwa na mpira ubelgijiHivi De Bruyne Yupo?
Wamekusikia mkuu.Toa dembele atakula kadi