Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Ubelgiji lazima watapata goli france wasilale na hako ka moja
 
7392990_jpeg_jpg_jpege11d776d1645fa2ac7e2e73305c3dc5f


huyu mlugulu utadhani hayumo, kumbe anatibua mipango tu humo.
Noma sana huyu ndo mana wapo salama
 
Bambucha Maroune wakumuangalia sana huyu....kwenye hisia zangu yale aliyowafanyia Japan yanajirudia rudia.
 
Mmeiona pass ya Mpape lakini?
A million dollar pass
Giroud hajaitendea haki, badala ya kufunga anataka aguse mara ya kwanza alafu ndio apige wakati yupo na goli.
ile pasi ni balaaa. hatari sana hawa wababe wa leo ni burudani tosha
 
Back
Top Bottom