Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Ubelgiji lazima watapata goli france wasilale na hako ka moja
 
Bambucha Maroune wakumuangalia sana huyu....kwenye hisia zangu yale aliyowafanyia Japan yanajirudia rudia.
 
Mmeiona pass ya Mpape lakini?
A million dollar pass
Giroud hajaitendea haki, badala ya kufunga anataka aguse mara ya kwanza alafu ndio apige wakati yupo na goli.
ile pasi ni balaaa. hatari sana hawa wababe wa leo ni burudani tosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…