BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Am trying Boss, Kahawa will do, wacha niitafute.Take it easy Chief,.[emoji16]
Acha mambo yako, game haijaisha bana.Dah my belgium
Utapata tabu sana kipigo chake ni zaidi ya mbwa kokoDah my belgium
Thierry yupo ktk angle mbaya.'Bizarre' situation as Henry plots France's downfall
View attachment 806456
Henry (right) and Deschamps (left) lifted the World Cup trophy together in 1998
Hawa Belgium kama tuna mahusiano mazuri nao si tunaweza kuwasaidia Dreamliner yetu ikatusaidi kuwarudisha Kwao ?Belgium wanazingua sasa .. mpira gani huu wanacheza sasa.?
Hawa sio Japan Hawa ni FranceAcha mambo yako, game haijaisha bana.
hahahaaHuo mpira aliodaka huyo kipa angekua aishi manura angeharisha..