Acha tuu hawa France nawapenda sana, niliumia sana 2006 tulipokosa ndoo.So much love,.
Dah Leo angalau nina amaniBaada ya kupotezwa na kipigo kutoka Ubelgiji Leo nimeibukia Ufaransa.Ufaransa nilipieni kisasi Kwa Mbelgiji.Mbelgiji Leo ataisoma namba
Leo tabu imerudi ilikotokaNasema utapata tabu sana na huko ulikohamia leo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah ingekuwa huzuni sana ningepoteza na leo.Mkuu utapigwa mara mbili.
Timu zote 2 ni nzuri ila France atashiriki mechi ya mshindi wa 3 Jumamosi.
Zamu ni yetu sasa kunyanya dudeAcha tuu hawa France nawapenda sana, niliumia sana 2006 tulipokosa ndoo.
Nahisi hiyo sheria haifanyi kazi kwenye final.Mkuu mechi yao na uruguay si alipewa kadi?
Lile lilikuwa shambulio la aibuDah hongera mkuu,mie Brazil ilifanyiwa unyanyasaji na Belgium
Belgium au France inachukua kombe
Mimi kwenye match zote hii ndio match iliyoniumiza sana.Dah Leo angalau nina amaniLeo tabu imerudi ilikotokaDah ingekuwa huzuni sana ningepoteza na leo.
Sina uhakika, ngoja nifatilieSi ana kadi mbili huyu
Mechi ya finally atacheza?
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Pole sana Mkuu,najua umeshalala saa hizi.
Ahsante japo pole hyo haitobadilisha matokeoPoleni sana
Ahsante we acha tuPole mkuu
πππππππππAhsante japo pole hyo haitobadilisha matokeo
rekodi ya france kwa hao mashoga haijavunjwaaaaaaaaaaaHuyo mfaransa mnavyompa credits hana lolote, hapiti kwa mbeligiji mark my words.
Ubingwa unaenda kwa mbeligiji mapemaaa.
Mmh mh polepolerekodi ya france kwa hao mashoga haijavunjwaaaaaaaaaaa
Kadi za njano zinafutwa baada ya robo fainali. Hivyo wachezaji wote waliokuwa na kadi wanaingia nusu fainali wakiwa hawana kadi. Ndio utaratibu mpya wa fifa 2018.Mkuu mechi yao na uruguay si alipewa kadi?