Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Noma sana kanifurahisha mnoo
Bwana mdogo anauwezo,mimi nilianza kumfatilia akiwa monaco tena baada ya mdogo wangu kumsifia na kumuelezea,nikatenga muda kumsoma kisha nikampitisha katika wanasoka wangu Pendwa.

Speed yake,wepesi wake,uwezo wa kutumia miguu yote kubwa zaidi mtu wa tabasamu lenye ukarimu.
 
Nami hiko ndio nachompendea. Anajua sana yanii tupa kule neyma tupa kule messi. Napenda kumuangalia huyu jamaa
 
Nadhani itapendeza sana akichukua world cup.

Bwana mdogo anania ya kufanya makubwa katika ulimwengu wa soka.
 
Team niliyoitabiria kufika final imefika imebaki team niliyoitabiria kubeba kombe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] LOL.

RAFIKI HICHO NI ZAIDI YA KICHEKO LOL. Hongereni bana.

beingsingle uko wapi mdogo wangu najua usingizi umekuwa mtamu hasa leo. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni zaidi ya furaha. Belgium ingepita tungepata tabu sana. Asante

Back
Top Bottom