mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Hivi kuna anayeamini England wanaweza kuwafunga Croatia?
Labda kama ni utani [emoji23][emoji23][emoji23]
Team Croatia since day 1 [emoji1434][emoji1434]
Japo kombe ni la France
Hutaamini baada ya mechi hiyo
"Football is coming home"
Wewe ndio ujiandae kisaikolojia Mkuu,weka mahaba pembeni ukubaliane na ukweli.
Tupo pamoja mkuuLeo nipo England japo probability ya ushindi kiduchu[emoji14]
Mie nina Imani Croatia atafungwaHivi kuna anayeamini England wanaweza kuwafunga Croatia?
Labda kama ni utani [emoji23][emoji23][emoji23]
Team Croatia since day 1 [emoji1434][emoji1434]
Japo kombe ni la France
Nikubaliane na ukweli upi?
Mie nina Imani Croatia atafungwa
Nitairudia hadi siku ya fainaliCHUKUA HIYO
PEP GUARDIOLA
2008 - 2012 BARCELONA, and SPAIN WALIKUWA WASHINDI KOMBE LA DUNIA 2010..
2013 - 2016 BAYEN MUNICH, and GERMAN WALIKUWA WASHINDI KOMBE LA DUNIA 2014...
2016 - HADI SASA MANCHESTER CITY,,
JE ENGLAND NDIO WASHINDI KOMBE LA DUNIA 2018..???
Leo nipo Croatia moyo wangu umeshakuwa sugu na maumivu ya kombe hili