Ahahahah umenifurahisha japo umedandia mada
aisee,serious?
Mkuu hiyo hela yako ipo salama kabisa kama upo bar unaweza anza kuitumia kwa kuagiza biaKuna jamaa nimebet nae Uingereza akishinda nampa Elf 20, Mimi Nimemwambia Croatia akishnda Sitak hela(ni mpare najua hatanipa) anitumie tu papuchu ya demu wake,amekubali ila bahat mbaya humu watanipa ban nilitaka niiweke avatar mana nina uhakika papuchu n yangu leo.
Mkuu, bujibuji leo croatia atawashangaza wengi najua wanampenda sana mkoloni wao lakini leo ndio mwisho wakeI believe
siasa mingi mingi sanaa.......Timu zote zilizofika nusu hazina hadhi ya kuwa hapo zilizpo kidogo labda france.
Kiujumla sijawahi kuona michuano ya world cup mibovu isiyokuwa na mvuto kama hii ya mwaka hii.
The most boring world cup tournament i have ever watched i.e lots of bus packers,mediocre players,dumb tacts,VAR(very annoying refereeing).
Haa haa haa aiseeeLife is not fair kwa kweli.
Haa haa aiseee huyo mpare umejua maanaKuna jamaa nimebet nae Uingereza akishinda nampa Elf 20, Mimi Nimemwambia Croatia akishnda Sitak hela(ni mpare najua hatanipa) anitumie tu papuchu ya demu wake,amekubali ila bahat mbaya humu watanipa ban nilitaka niiweke avatar mana nina uhakika papuchu n yangu leo.
Aiseee mm nmeshindwa kuangalia mpiraMkubwa vipi ya leo wanarusha au nitafute banda umiza kabisa
Uwanja wa Luzhniki, Moscow
Croatia itavaana na England katika Uwanja huu.
Unakumbuka mechi ya fainali ya vilabu bingwa ulaya 2008 kati ya Manchester United na Chelsea ambayo United ilishinda kupitia mikwaju ya penalti? Basi huu ndio uwanja ulioandaa ngarambe hiyo.
Kubwa zaidi ya viwanja vyote, Luzhniki, ulioko Moscow, Ulifunguliwa 1956 kabla ya kukarabatiwa na kuzinduliwa tena 2018.