Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Kujifariji wakati mwengine sio dhambi ila France walivyocheza mpira mwingi na wenye malengo jana nachelea kusema ubingwa wataukosa!

Personally nataka Ufanransa achukue kombe na itapendeza zaidi goal la ushindi lingwe na black kama jana.
 
Kuna jamaa nimebet nae Uingereza akishinda nampa Elf 20, Mimi Nimemwambia Croatia akishnda Sitak hela(ni mpare najua hatanipa) anitumie tu papuchu ya demu wake,amekubali ila bahat mbaya humu watanipa ban nilitaka niiweke avatar mana nina uhakika papuchu n yangu leo.
Mkuu hiyo hela yako ipo salama kabisa kama upo bar unaweza anza kuitumia kwa kuagiza bia
 
Timu zote zilizofika nusu hazina hadhi ya kuwa hapo zilizpo kidogo labda france.

Kiujumla sijawahi kuona michuano ya world cup mibovu isiyokuwa na mvuto kama hii ya mwaka hii.

The most boring world cup tournament i have ever watched i.e lots of bus packers,mediocre players,dumb tacts,VAR(very annoying refereeing).
siasa mingi mingi sanaa.......
 
Malipo ya Cristiano Ronaldo katika mkataba wake na Juventus: TZS bilioni 324 kwa miaka 4. TZS bilioni 81 kwa mwaka. TZS bilioni 6.75 kwa mwezi. TZS bilioni 1.6875 kwa wiki. TZS milioni 241 kwa siku. TZS milioni 10 kwa saa. TZS 167,000 kwa dakika. TZS 2,800 kwa sekunde.

Life is not fair kwa kweli.
 
Croatia inacheza nusu fainali yake ya pili tangu 1998.

England inashiriki nusu fainali kwa mara ya tatu. Mnamo 1966 ilishinda dhidi ya Ureno, lakini 1990 ilifungwa na Ujerumani.

Harry Kane, Mfungaji bora wa Kombe la Dunia ndio tegemeo la Uingereza.

Croatia inatarajia beki Sime Vrsaljko na kipa wake Danijel Subasic watakuwa katika hali nzuri baada ya kuumia dhidi ya Ufrusi Robo fainali.
 
Maajabu kikosi cha England
Mechi ya nusu fainali: Croatia V England
Ni wachezaji watatu pekee katika kikosi cha England kitakachoanza dhidi ya Coatia waliozaliwa mara ya mwisho England kufika nusu fainali Kombe la Dunia.

Ashley Young alikuwa na miaka 4, nao Kyle Walker na Jordan Henderson walikuwa watoto wachanga.

Haikuwa siku yao kwani England ilifungwa na Ujerumani Magharibi miaka 28 iliyopita wakifunzwa na marehemu Bobby Robson.

Kikosi kamili cha England: Pickford, Walker, Stones, Maguire, Trippier, Young, Henderson, Alli, Lingard, Sterling, Kane.
 
Uwanja wa Luzhniki, Moscow
Croatia itavaana na England katika Uwanja huu.

Unakumbuka mechi ya fainali ya vilabu bingwa ulaya 2008 kati ya Manchester United na Chelsea ambayo United ilishinda kupitia mikwaju ya penalti? Basi huu ndio uwanja ulioandaa ngarambe hiyo.

Kubwa zaidi ya viwanja vyote, Luzhniki, ulioko Moscow, Ulifunguliwa 1956 kabla ya kukarabatiwa na kuzinduliwa tena 2018.
 
Uwanja huu umekuwa na furaha na majonzi.

Licha ya kuwa mwenyeji wa Olimpiki 1980 na kuwalaki zaidi ya mashabiki 100,000, miaka miwili baadaye, watu 66 walifariki wakati mashabiki walipokuwa wakiwania kutoka nje kwenye finali ya kombe la UEFA kati ya Spartak Moscow na waholanzi HFC Haarlem.

Umewahi kuandaa fainali ya kombe la UEFA 1999 ambapo Parma iliilaza Marseille. Uwanja huu utakuwa wa tano kuandaa mechi ya fainali ya kombe la dunia, fainali ya kombe la Vilabu bora Ulaya, pamoja na mashindano ya Olympiki.

Usisahau, mmoja kati ya hawa atarejea hapa kwa minajili ya kucheza fainali Jumapili, 15 Julai.
 
Leo usiku ..
IMG-20180711-WA0071.jpg
 
Kuna jamaa nimebet nae Uingereza akishinda nampa Elf 20, Mimi Nimemwambia Croatia akishnda Sitak hela(ni mpare najua hatanipa) anitumie tu papuchu ya demu wake,amekubali ila bahat mbaya humu watanipa ban nilitaka niiweke avatar mana nina uhakika papuchu n yangu leo.
Haa haa aiseee huyo mpare umejua maana
Pesa asingetoa kabsa
 
Mkubwa vipi ya leo wanarusha au nitafute banda umiza kabisa
Aiseee mm nmeshindwa kuangalia mpira
Kwa nyumba yan lazma niende tu Banda uliza
Huko kuna Kila Aina ya vtuko
Lkn kama huwez utan wa mpira huko hutakiwi
Kwenda
 
Uwanja wa Luzhniki, Moscow
Croatia itavaana na England katika Uwanja huu.

Unakumbuka mechi ya fainali ya vilabu bingwa ulaya 2008 kati ya Manchester United na Chelsea ambayo United ilishinda kupitia mikwaju ya penalti? Basi huu ndio uwanja ulioandaa ngarambe hiyo.

Kubwa zaidi ya viwanja vyote, Luzhniki, ulioko Moscow, Ulifunguliwa 1956 kabla ya kukarabatiwa na kuzinduliwa tena 2018.

Numbisa nakunyooshea mikono!!

Upo vizuri kuhabarisha, una jitihada za kipekee sana.
 
Back
Top Bottom