Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hawa ndo wanaitia gundu CroatiaLeo usiku ..View attachment 807498
timu zinazocheza mpira wa kuvizia vizia sana ndio zimeonekana kufanya vizuri mwaka huu, na mimi sio mpenzi wa mbinu za mpira wa kioga na matokeo tu. Croatia walicheza kama timu kubwa kwenye makundi lakini kwenye hii elimination stage wamwjionyesha kwamba hata wao bado ni mediocre team.Team gani nyingine yenye matokeo kama hizo team imetolewa mapema ?
Kureshiya yule rais wao,mmmh hatariTeam Croatia mpo?
Utakuwa msiba wa kitaifa.Nimeangalia Quest Express ya CNN, yaani huko England hakutoshi, leo baadhi ya watu waliruhusiwa kutoka makazini mapema. Mascreen makubwa kila kona.
Hapa nilipo nasubiri wapigwe nicheke.
You are welcome!Thank u bradha
Sijajua kama atakuwepo leo atupe motishaKureshiya yule rais wao,mmmh hatari
ngumu kumesaLeo England anashinda
HahahaSijajua kama atakuwepo leo atupe motisha
banda umizaAiseee mm nmeshindwa kuangalia mpira
Kwa nyumba yan lazma niende tu Banda uliza
Huko kuna Kila Aina ya vtuko
Lkn kama huwez utan wa mpira huko hutakiwi
Kwenda
Hamna jinsi nimechagua tungumu kumesa