Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Team gani nyingine yenye matokeo kama hizo team imetolewa mapema ?
timu zinazocheza mpira wa kuvizia vizia sana ndio zimeonekana kufanya vizuri mwaka huu, na mimi sio mpenzi wa mbinu za mpira wa kioga na matokeo tu. Croatia walicheza kama timu kubwa kwenye makundi lakini kwenye hii elimination stage wamwjionyesha kwamba hata wao bado ni mediocre team.
 
Ofisi za mkoloni
IMG-20180711-WA0074.jpg
 
Shirikisho la soka FA limepigwa faini pauni elfu 50 kwa soksi za Dele Alli, Eric Dier na Raheem Sterling.

Watatu hao walivaa nyonginyo zilizokatazwa na kukiuka sheria za FIFA za matangazo ya kibiashara.
e5442e11-bf8e-463e-bfd6-b63d520d69eb.jpg
 
hivi nyie mods mupo sawa lakini? kwanini manaziunganisha thread ata hazina mahusiano kabisa? au ndo kwakaua zinahusu world cup tu? jaribuni kjuifunza kwenye forums nyengine za sports muone mazingira yanavokua.
 
Back
Top Bottom