.Croatia hawana uwezo wa kurudisha hilo goli...labda England waongoze...England ndio mabingwa wa kombe la dunia hakuna wa kuwazuia
[emoji41]Hii game imeisha England wameshinda...Croatia wamezidiwa kila idara
hahaha acha tu chief!Hii mechi inataka kutuchelewesha kulala
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji41]
[emoji41]Croatia wameahindwa kutengeneza nafasi kabisa. Sioni kama kuna uwezekano wowote wa kurudisha hili bao 1.
Kelele sasa.
Baada ya crotia kusawazishawaingereza bwana, kelele nyingi timu yao inacheza kama wachezaji wanaumwa
Eti wanataka kunilazimisha kutolala mapema[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23] acha kabisaMida hii mtu akifungwa lazima alie ka mtoto.
[emoji2] yaani Mpira utumwa!Eti wanataka kunilazimisha kutolala mapema
sana..CROATIA AKIPITA FAINALI ITAKUWA TAMU SANA