Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Daa aiseee mbona hawa washabiki wa uingereza wanaonekana wamepindaa yaani kuna clip nimeiona

Kuna masela wakula bangi na kunywa gongo sijui pombe ile wamekaa viti vya juuu hawa jamaa wanaonekana wamepinda hatari
 
Nadhani hapa akili zitawarudi maana wamechezea nafasi kipindi cha kwanza ...Lingard na Kane Lawama zitakuwa kwao
 
Back
Top Bottom