Aisee!!Nina uhakika kabisa crotia wanatoka
Mkuu, hali sio mbaya. Wacha mark hii comment!
Muda bado mkuuAisee!!
Ha ha ha, nakuangalia nabaki hiiiiiiiiiiiiiiiiiHii game imeisha England wameshinda...Croatia wamezidiwa kila idara
Naheshi mawazo yako mpira dk 120 leo!Nina uhakika kabisa crotia wanatoka
Asemaye kesho muongoLeo ni leo
bado hata dhidi ya russia walipata goli kisha wakachomolewa ngoma ikaenda matuta...Bora Media Fc Inatoka.
Mkuu ndio maana nikajiita Leonardo Da'Vinci jr. Pole sana kwa yaliyo kukuta.MKUU UNA BRAIN MZURI
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] acha tu!Naheshi mawazo yako mpira dk 120 leo!
Kabisa mkuu muda badoNaheshi mawazo yako mpira dk 120 leo!
Tuna hali nzuri kiasi. Wacha tumalize kazi!Mkuu, hali sio mbaya