TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Croatia Bingwa wa Kombe la Dunia, maana naona wako vizuri. Ufaransa inabidi akubali tu kipigo.
Yaani hawa UEFA holaa na WC holaa piaEngland wakaandae EPL sasa
EwalaaaaaaAsemaye kesho muongo
Nakuona bado unaweza kuachia tabasamu, Madam.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] acha tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh mpira uisheeeee
Yaani!acha tu![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]supa happyCroatia nifuteni machozi
Machozi ya Ubelgiji?Croatia nifuteni machozi
POA POA MKUUMkuu ndio maana nikajiita Leonardo Da'Vinci jr. Pole sana kwa yaliyo kukuta.