capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,363
- 121,260
Sana nililala kabisaa!nilishakata tamaa![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]tabasamu pana mnoo!Nakuona bado una nguvu ya kuachia tabasamu, Madam.
Yani niliipenda ubelgiji kulikoMachozi ya Ubelgiji?
Hawa Croatia sio wazurii!wanamuumbua mzee mzimaDah kweli England hawaeleweki sasa washaipa timu yangu wakati mgumu ....maana kiukweli hawa crotia wafaransa tutapata tabu sana bora wangepita hawa waingereza kombe tungelibeba asubuhi asubuhi
Yan nataman uishe tu5 Mins to Go
Nmefurahi hata ivo .. 4mins to GoSana nililala kabisaa!nilishakata tamaa![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]tabasamu pana mnoo!
Pub zinejaa leo England ingefunga Uingereza kusingelalikaWasaidizi wa Malkia wana kazi sana leo.
WameshapoteanaWasaidizi wa Malkia wana kazi sana leo.
AmenKombe linakwenda Croatia
Yani hunishindi mimi[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani!acha tu![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]supa happy
Bado wacha kipa wetu alalie mpira kidogo.Yan nataman uishe tu