Mkuu, katika uzi huu mapema sana nilisema Croatia ni timu ya fainaliKusema kweli England wamezidiwa kwa kila hali...
Nilisema England ishinde lkn ilivyokuwa inacheza nashangaa Inakuaje Imefika Nusu fainali.Huwa namwomba MUNGU kwenye mambo yangu mengi. Ananipa japo kwa kuchelewa. Kla leo kanipa kwa wakati. Full time Croatia 2-1 after extra time England.
Afadhali kelele zimeisha rasmi. Ahsante Mungu kwa Kusikia maombi yangu. England out!
Inajirudia siioni England tatu bora!England alikubali kichapo cha bao moja kwa bila na Belgium hatua za Makundi.
Jee, hali hiyo itajirudia?
Tukutae Jmosi.
Hongera Croatia
Mmetangulia stand basi kelele nyingi, kumbe nauli anayo Croatia pumbavuuuuuuuu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hawakustahili hata kufika nusu, England wanapenda sana mserereko. Refa ajiandae kusemwa sana kesho
Na tumewaacha na gari hawajaurambaa!!!Mmetangulia stand basi kelele nyingi, kumbe nauli anayo Croatia pumbavuuuuuuuu.
Haha nimekubali mkuuKesho France anashinda, japo Belgium ina kikosi kizuri, lakini imepungukiwa kidogo uwezo wa kuitoa France. Na keshokutwa Croatia anashinda, England hawezi kushinda mbele ya Croatia.
So Final ni France v Croatia.
Bisha at your own risk.😎
Real fighters! Hawachoki hakuna siku niliwapenda kama walivyocheza na Argentina! Aiseh!Croatia sio wa kuchezea kabisa mkuu, ni wapambanaji haswaaa, ndicho ninachowapendea, wana discipline ya hali ya juu.
Oyoooooooo cheers kwa wana Croatia wote tusherekee pamoja jamani
Ahsante mkuu kwa niaba ya wa CroatiaEngland alikubali kichapo cha bao moja kwa bila na Belgium hatua za Makundi.
Jee, hali hiyo itajirudia?
Tukutae Jmosi.
Hongera Croatia
Hivi kuna anayeamini England wanaweza kuwafunga Croatia?
Labda kama ni utani [emoji23][emoji23][emoji23]
Team Croatia since day 1 [emoji1434][emoji1434]
Japo kombe ni la France