Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Kusema kweli England wamezidiwa kwa kila hali...
Mkuu, katika uzi huu mapema sana nilisema Croatia ni timu ya fainali
Niliona uchezaji wao ni wa kiwango cha hali ya juu sana

England wakipata goli wanatulia kana kwamba hawahitaji tena kushinda

Ufaransa sikuipa nafasi kama Croatia. Hii timu ni kali sana naona Kombe la dunia likielekea huko
Mashabiki wa London 'it's coming home...' naona hali ni mbaya sana

Uzuri wa ufaransa kama watacheza kwa mchezo wao wa kujaza viungo, hapo wanaweza kuwazuia Croatia, otherwise hii ni timu ya Ubingwa

Michezo ya makundi niliwaita England kama low energy, watu walibeza. Sijui huko waliko hali ipoje. It's over na ni mwaka England ilikuwa na matumaini makubwa sana.
 
Huwa namwomba MUNGU kwenye mambo yangu mengi. Ananipa japo kwa kuchelewa. Kla leo kanipa kwa wakati. Full time Croatia 2-1 after extra time England.
Afadhali kelele zimeisha rasmi. Ahsante Mungu kwa Kusikia maombi yangu. England out!
Nilisema England ishinde lkn ilivyokuwa inacheza nashangaa Inakuaje Imefika Nusu fainali.
 
Tukutane tena Qatar kwenye majaaliwa
IMG-20180711-WA0012.jpeg
IMG-20180711-WA0011.jpeg
 
Matokeo ya leo baina ya Croatia na England hayakunishangaza kabisa, niliyaona siku nyingi sana zilizopita nilipoweka jedwali hili.
upload_2018-7-7_16-37-30-png.804761

Kwa jumla England ilikuwa itolewe na Sweden kwenye robo-fainali ila waswede wakaingia uwanjani kwa woga. Timu ya England haina mashambulizi makali, wanategemea sana kuwekewa mipira kwenye eneo la hatari badala ya wao wenyewe kuuleta mpira huo kwa nguvu, wakati Croatia ni aggressive kuleta mpiria eneo la hatari. Sasa kwenye fainali baina ya croatia na Frence, na take may word: kombe litaneda France; timu hiyo ya France in vijana wadogo wadogo wengi sana wa kiafrika ambao wako flexible na resilient sana. Wakicheza kama ambavyo wamekuwa wakicheza siku zote basi wataondoka na Kombe; wakijaribu kubadilisha mchezo wao basi itakuwa ni pata potea.
 
Back
Top Bottom