Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Mkuu, katika uzi huu mapema sana nilisema Croatia ni timu ya fainaliKusema kweli England wamezidiwa kwa kila hali...
Niliona uchezaji wao ni wa kiwango cha hali ya juu sana
England wakipata goli wanatulia kana kwamba hawahitaji tena kushinda
Ufaransa sikuipa nafasi kama Croatia. Hii timu ni kali sana naona Kombe la dunia likielekea huko
Mashabiki wa London 'it's coming home...' naona hali ni mbaya sana
Uzuri wa ufaransa kama watacheza kwa mchezo wao wa kujaza viungo, hapo wanaweza kuwazuia Croatia, otherwise hii ni timu ya Ubingwa
Michezo ya makundi niliwaita England kama low energy, watu walibeza. Sijui huko waliko hali ipoje. It's over na ni mwaka England ilikuwa na matumaini makubwa sana.