Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Croatia imeanza mashindano Kwa Speed kali lkn siku zinavyozidi kwenda wanashinda kimiujiza tu
Wachezaji wake wamechoka sana kukimbizana 120 na Sweden, 120 na Russia, 120 na England. Na leo ndo walikuwa wanaonekana wamechoka kabisa.
 
England itawashangaza wengi itakapomtoa croatia.
Halafu sielewi kwa nini watu wengi duniani hawaipendi england
Nafikiri leo umegundua ni kwa nini hatuipend England.Wana mpira wa kiujanja ujanja tu,Kama hivi wamekutana na mafundi wameishia kupia On target 2 dakika 120...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…