Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Naomba urudi Urusi habari za Ugiriki sioni kama zina maana yoyote kwa sasa.

Timu nzima hakuna hata mchezaji aliyewahi kupata mafanikio ya soka unataka ianzie kwenye WC uko Timamu kweli.
Kwa hiyo ugirik waliochukua euro mafanikio walianzia world cup?
 
Ila mkuu wanadai mpira(football) imeanzia kwao. So usiwatoe kwenye mambo ya mpira.
Hawana jipya hao wana Utanzania mwingi sana na huo ujinga wao walionao walioutoa huku wakati wanatutawala sijui hawakuona nchi za kutawala.
 
Hawa waingereza kwanza tabia yao kuchukua wachezaji wa kiafrika na kuwabadilisha majina hili kupoteza kabisa identity ya uafrika wao ni sababu nyingine inayonifanya nisiswapende.

Marcus Rushford jina lake halisi ni Rashid, Dele Alli jina lake halisi ni la kinaijeria kabisa anaitwa Bamidele Jerimaine Alli lakini wote hawa waingereza wakaamua kuchakachua majina yao na kufanya dunia iwaone ni waingereza pure!!

once again well done croatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…