Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
wamekod drimu laina yetuHahah..Kuna jamaa yangu ananiambia mashabiki wa England wamebaki tuliiiii kama wanaangalia X
Excuse my language.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamekod drimu laina yetuHahah..Kuna jamaa yangu ananiambia mashabiki wa England wamebaki tuliiiii kama wanaangalia X
Excuse my language.
Ila mkuu wanadai mpira(football) imeanzia kwao. So usiwatoe kwenye mambo ya mpira.Unajua ukisogeza timu ya England kwenye mambo ya Mpira utaifanya ianze kujiona ni timu kubwa sana Duniani kumbe haipunguzi wala kuongeza chochote.
Acheni kulinganisha Nyosso na Upuuzi.hv ww kati ya lingard na juma nyosso nan fund
Usajali ndo mpiraPole kwa yaliyokukuta leo
nitag wewe .... we mshkaji mbishi kama simba aliyekula majanWeka alarm
ndo nlkua namwambia mshkajiAcheni kulinganisha Nyosso na Upuuzi.
Bora ya Nyoso, akili ya lingard ni kama ya huyo jamaa anayeitwa Radika sijuihv ww kati ya lingard na juma nyosso nan fund
Kwa hiyo ugirik waliochukua euro mafanikio walianzia world cup?Naomba urudi Urusi habari za Ugiriki sioni kama zina maana yoyote kwa sasa.
Timu nzima hakuna hata mchezaji aliyewahi kupata mafanikio ya soka unataka ianzie kwenye WC uko Timamu kweli.
Hawana jipya hao wana Utanzania mwingi sana na huo ujinga wao walionao walioutoa huku wakati wanatutawala sijui hawakuona nchi za kutawala.Ila mkuu wanadai mpira(football) imeanzia kwao. So usiwatoe kwenye mambo ya mpira.
radika ... ni puppet wa uingerezaBora ya Nyoso, akili ya lingard ni kama ya huyo jamaa anayeitwa Radika sijui
Ndugu hiyo ni kazi kabisa ndiyo maana wakiwa uwanjani wanakua makini sana aise.Dakika 120 mechi ya tatu hii wanakimbiza. Kweli kwa wenzetu mpira kazi.
Haaaa si kiherehere chako cha ku quote post zangu ungekausha tu uone kama ningeku quotenitag wewe .... we mshkaji mbishi kama simba aliyekula majan
Basi Mmechukua Kombe la dunia mpelekeeni Malkia wenu.Kwa hiyo ugirik waliochukua euro mafanikio walianzia world cup?
Wanalo wale sio mara ya kwanza kucheza hayo mashindanoBasi Mmechukua Kombe la dunia mpelekeeni Malkia wenu.
bhange mm niwe na kihere here na ww waat a shit who are u M..FACKHaaaa si kiherehere chako cha ku quote post zangu ungekausha tu uone kama ningeku quote
Usiku mwema ngoja nilale. Tangu jumatatu mpaka leo wiki hii yote sijawahi kazini.radika ... ni puppet wa uingereza
you take everything seriouly mandricating every thing ..Haaaa si kiherehere chako cha ku quote post zangu ungekausha tu uone kama ningeku quote
Keherehere cha kudandia mambo kimekuponza pita kimya shobo zako zinekuponzabhange mm niwe na kihere here na ww waat a shit who are u M..FACK