Hapana chapa kazi ndo siri ya mafanikioUtapata mtaji mdogo angu ndoufanye biashara
Mkuu mwanzo ni mguma lazima chazio kipatikane kwa njia yoyote hamna jinsiHapana chapa kazi ndo siri ya mafanikio
Mkuu mimi kwa upande wangu siamini kamali kukutoa ktk maisha naamini mtu makini huwa na mlomlongo sahihi ktk maisha haya mambo ya njia fupi lazima ulie tu baadaeMkuu mwanzo ni mguma lazima chazio kipatikane kwa njia yoyote hamna jinsi
Hahaha mjiandae kisaikolojia mkuu.Croatia [emoji123]
Mkuu hamna anae penda ni hari kua ngumu nakushindwa njia safiMkuu mimi kwa upande wangu siamini kamali kukutoa ktk maisha naamini mtu makini huwa na mlomlongo sahihi ktk maisha haya mambo ya njia fupi lazima ulie tu baadae
Poa mkuu ila kubet ni kumchangia muhindi tu anaweza kula hata hako ka dogo uliko nakoMkuu hamna anae penda ni hari kua ngumu nakushindwa njia safi
Sawa nimekuelewa mkuuPoa mkuu ila kubet ni kumchangia muhindi tu anaweza kula hata hako ka dogo uliko nako
Bora tutambiene kama hivi akipatikana mshindi safi hivyo ndivyo mpira ulivyo lazima kutambiana ili mechi inoge.
Hahaha mkuu wacha tusubir ila france anawachapa.Croatia ²
France1
Wanacheza kitimu kuliko mzee wa Assimilation policyUnaota ww, croatia wana morali