Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

France tuanze kushangilia ubingwa wa dunia mapema.[/QUOTE]

CROTIA
hana chake kesho, [emoji13] [emoji13] [emoji13]

ajitaidi tuu asogeze kwenye kwenye matuta labda ndo pona pona yakE..
 
Usijitape na mkeka
Mpira unadunda
Kwa kikosi cha ujerumani Nani alisadiki hiyo timu itatoka mapema , jiulize Hispania

Lolote laweza tokea
 
Mkuu mimi kwa upande wangu siamini kamali kukutoa ktk maisha naamini mtu makini huwa na mlomlongo sahihi ktk maisha haya mambo ya njia fupi lazima ulie tu baadae
Mkuu hamna anae penda ni hari kua ngumu nakushindwa njia safi
 
Mkuu hamna anae penda ni hari kua ngumu nakushindwa njia safi
Poa mkuu ila kubet ni kumchangia muhindi tu anaweza kula hata hako ka dogo uliko nako

Bora tutambiene kama hivi akipatikana mshindi safi hivyo ndivyo mpira ulivyo lazima kutambiana ili mechi inoge.
 
Poa mkuu ila kubet ni kumchangia muhindi tu anaweza kula hata hako ka dogo uliko nako

Bora tutambiene kama hivi akipatikana mshindi safi hivyo ndivyo mpira ulivyo lazima kutambiana ili mechi inoge.
Sawa nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom