Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Huyo Kocha sielewi anang'ang'ania nini kwa Giroud. Naomba kujuzwa kwa anaejua kocha kavutiwa na nini mpaka kumng'ang'ania reject wa Wenger
 
Huyo Kocha sielewi anang'ang'ania nini kwa Giroud. Naomba kujuzwa kwa anaejua kocha kavutiwa na nini mpaka kumng'ang'ania reject wa Wenger
Ana zaidi ya dk 450 katika zote game alizocheza hana hata shoot moja on target.
 
Ufaransa ni mafala wanamchezesha Giroud leo!!....ni haki yao kufungwa leo!!
 
Weka pesa yote uliyonayo leo Croatia ndio mabingwa.

Utanikumbuka, usuchezee utajili huu huwa hauji mara mbili.

Majinga yote yanaamini Ufaransa leo ndio bingwa kumbe wapo gizani.
USIKIMBIE MWISHO WA GAME, USIJE SEMA FRANCE KABEBWA!
 
Yatakayowagharimu Ufaransa leo ni:

1.Kumpanga Giroud kwenye kikosi cha leo

2.Mbappe kucheza kutokea pembeni badala ya kucheza kwa kutokea katikati!
 
Croatia wanakufa mapema tu hata extra haifiki team ng'olo kante team giroud..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…