bablon6
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 630
- 566
Elfu 50... Croatia kapewa 3.04Umebeti shilingi laki ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elfu 50... Croatia kapewa 3.04Umebeti shilingi laki ngapi
Huko huko twende, hutojuta, tii moyo wakokàmoyo kananipeleka kwa Croatia jamani.....moyo huu!!
Weka pesa yote uliyonayo leo Croatia ndio mabingwa.Paka huyu ajawai kosea View attachment 809767
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hiii hutokea tz pekee ambapo tunalazimisha matokeoView attachment 809785
Umeonaa hawata aaminWeka pesa yote uliyonayo leo Croatia ndio mabingwa.
Utanikumbuka, usuchezee utajili huu huwa hauji mara mbili.
Majinga yote yanaamini Ufaransa leo ndio bingwa kumbe wapo gizani.
Ana zaidi ya dk 450 katika zote game alizocheza hana hata shoot moja on target.Huyo Kocha sielewi anang'ang'ania nini kwa Giroud. Naomba kujuzwa kwa anaejua kocha kavutiwa na nini mpaka kumng'ang'ania reject wa Wenger
Kwa mujibu wa akilizangu naona GIROUD anacheza kama kivuli kwa ajili yakupata attention ya mabeki a timu pinzani hivyo kufungua nafasi kwa wachezaji wenzie.Ana zaidi ya dk 450 katika zote game alizocheza hana hata shoot moja on target.
haa haa hamna namnaKaribu Croatia.Tii sauti yako.
nimeshaufuata mkuuFuata moyo wako, faida ake ni kwamba hata ukipoteza there is always no regrets.
USIKIMBIE MWISHO WA GAME, USIJE SEMA FRANCE KABEBWA!Weka pesa yote uliyonayo leo Croatia ndio mabingwa.
Utanikumbuka, usuchezee utajili huu huwa hauji mara mbili.
Majinga yote yanaamini Ufaransa leo ndio bingwa kumbe wapo gizani.
hata akibebwa tusiseme?USIKIMBIE MWISHO WA GAME, USIJE SEMA FRANCE KABEBWA!
Mkuu, Mara hii tu umeshaanza kuogopa!!?hata akibebwa tusiseme?