joely sandu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 1,962
- 1,818
Ushindi lazimaHiii hutokea tz pekee ambapo tunalazimisha matokeoView attachment 809785
Hatuja ogopa aila naona mnatengeza mazingira ya uhalali wa kubebwa. Ila kwa croatia, nawaamini. France ilibebwa sana walivyocheza na belgium, lkn england ilibebwa pia ilivyocheza na croatia, na bado croatia ikawatoboa england.Mkuu, Mara hii tu umeshaanza kuogopa!!?
Giroud ni kilaza wa timu na atawaliza leo!....mark my words!!Croatia wanakufa mapema tu hata extra haifiki team ng'olo kante team giroud..
Mimi ni chelsea ila sijivunii jiluditeam Chelsea. Team Giroud.
team African.
Ndo bingwa wa dunia huyo.Mimi ni chelsea ila sijivunii jiludi
Ni mwanamuzikiWill Smith ni mwanamusic.?
Yaah..ndio alikoanzia hukoWill Smith ni mwana music.?