Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Mkuu, Mara hii tu umeshaanza kuogopa!!?
Hatuja ogopa aila naona mnatengeza mazingira ya uhalali wa kubebwa. Ila kwa croatia, nawaamini. France ilibebwa sana walivyocheza na belgium, lkn england ilibebwa pia ilivyocheza na croatia, na bado croatia ikawatoboa england.
 
Hello wanamichezo wa jukwaa hili

Tusaidiane mawazo hapa ipi live streaming nzuri ya kucheki final ya world cup kwenye simu.

Natanguliza shukrani
 
Kuhusu final ya leo
Modric na laktic wanaficha middle zote za France
Na apo ndio itakua weakness kubwa sana kwa France
Kuhusu giroud n mzigo na pia umtiti dakka 90 lazima achomeshe zake kama 3 iv

Namuona ngolo kante akiwa anapata tabu sana kwa modric
 
Pogba nipigie hawa vijana wa croatia..la sivyo namba nakunyima msimu ujao..by mourinho
 
Back
Top Bottom