Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Golikipa wa Ufaransa amewapa wenzake kazi ya ziada . Baada ya goli la nne, Croatia walikata tamaa, walichokuwa wanafanya ni kurudi nyuma kuzuia aibu ya goli la 5 au 6

Baada ya goli la pili walilopewa na golikipa, nguvu imerudi na naliona goli la tatu kwa Croatia soon!
 
Huwezi cheza kushambulia huku unasahau viongo na striking force ya ufarance ukabaki salama.
Unataka kutuambia viungo wa ufaransa wamecheza vizuri? Hawajafanya kauta ataki yoyote na kiungo cha france chote kimemezwa na croatia na goli zao ukitoa la mbappe ambalo nalo ni croatia hawakumkaba hernandez, la pogba kapiga vizuri ila ilikuwa ni gombania goli kama shule ya msingi mnapocheza mpira na ukakuangikia.
Bahati ikikuangukia ni imekuangukia tu, ndio bahati ya france leo.
 
Pressure ya Croatia ni kubwa ila inapozwa na kante na pogba hapo kati, unajua football ukiwa na vioungo wajanja wanasoma mchezo kante ata asogei mwanzo ata mbape alikuwa anashambulia kwa akili na kuibia anaattention kubwa kulinda!

Kwa pressure ya crotia wanachezea katikati kuja mbele bila kuwa na defensive middle fielders wazuri na ukizingatia france wabovu kwa mipira ya piga nikupige wangepigwa kirahisi mno. Kante anafanya kazi kubwa mno akisaidiwa na pogba!
 
Croatia wanaweza kupata goli la 3 kabla ya 90min.. France wanaonekana wanataka mpira uiishe as they supposed to
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…