Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Vive les bleus
... japokuwa nilitaka the underdog washinde... Croatia was best team of the tournament for me. England wajifunze toka kwa Croatia
 
Kuna wale madogo niliwaambia crotia kamtoa england kwa bahat na kukosa uzoefu walinishambulia sana nikawaambia crotia anakufa kiurahisi sana niliona jinsi mabek wa crotia walivyokimbizwa na sterling

Wakajidai wanajua mpira yako wapi?
 
До свидания от Стадиона Лужники
 
Matokeo ya leo pia hayakunishangaza kabisa; niliyaona siku nyingi sana zilizopita ilikuwa ni swala la time tu. Croatio leo ilionekana kutawala mchezo kutokana na uzembe wa midfieled ya Ufaransa, na vile vuile defense ya ufaransa haikuwa katika ubora wake. lakini Fowardline ya Ufaransa bado ilibaki kuwa sharp sana.
 
Kwa majaliwa tutaonana 2012 labda na timu ya Tanzania wakati huo ikiwa imebatizwa na kuitwa HAPA KAZI TU nayo itashiriki!. Kwaherini wapenzi wote wa WORLD CUP mlioshiriki katika thread hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…