radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Huyo mkuu alinishambulia sana bora umemuona nilimwambia kwa mpira aliopiga uingereza hao crotia kumfunga france ni ngumu jamaa aliniita tumbili nafikir kwa sasa kichwa kakitumbukiza kwenye mchanga kwa aibuTumbili aliyekatwa mkia alisema ukweli, siyo!
Jizoeze kuwa unatumia lugha nzuri kuliko matusi kwenye mijadala ya humu.