Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Tumbili aliyekatwa mkia alisema ukweli, siyo!

Jizoeze kuwa unatumia lugha nzuri kuliko matusi kwenye mijadala ya humu.
Huyo mkuu alinishambulia sana bora umemuona nilimwambia kwa mpira aliopiga uingereza hao crotia kumfunga france ni ngumu jamaa aliniita tumbili nafikir kwa sasa kichwa kakitumbukiza kwenye mchanga kwa aibu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pogba bana kapagawa
 
20180715_201704.png
rais wa france nae mzuka.
 
Huyo mkuu alinishambulia sana bora umemuona nilimwambia kwa mpira aliopiga uingereza hao crotia kumfunga france ni ngumu jamaa aliniita tumbili nafikir kwa sasa kichwa kakitumbukiza kwenye mchanga kwa aibu
Ila mkuu croatia imepiga mpira tuwe wakweli ila ni mistake chache tu zimewacost ila france alizidiwa kila sekta hasa midfield
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pogba bana kapagawa
KadatA
 
Back
Top Bottom