Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Nisaidie jamani kuna mtu tunabishana nae hapa.

Eti TBC si ndio walipewa tenda ya kurusha mpira ule duniani na hata Supersport walikuwa wanachukua matangazo kutoka kwao.
 
Vida alikosea kuwaudhi Russia, kawakosesha kombe wenzake (Joke)
====
Ufaransa, Duh! Paki basi, shitukiza mashambulizi.Bingwa Kombe la Dunia
-----
Za Chinichini..inasemekana kipa wa Ufaransa alicheza 'kamari' leo ndiyo maana amesababisha gori lile.
 

Ufaransa wanashinda tena kombe la dunia baada ya miaka 20.

Ufaransa walinyakuwa ubingwa wa kombe la dunia mwaka 1998 ambapo kocha wa sasa Didier Deschamps akiwa na akina Thiery Henry na Zinadine Zidane waliwashangaza Brazil kwa magoli mawili ya harakaharaka kabla ya kufunga goli la tatu.

Belgium wakti huo ailikuwa imetolewa kwenye hatua ya makundi na kurudi kwao Brussels.

Ufaransa na Ubelgiji wametumia miaka ishirini kuziandaa timu zao na matunda yake yameonekana leo, Ufaransa bingwa na Belgium wakishika nafasi ya tatu.

Chama cha soka Tanzania kisisite kuomba ushauri wa kitaala kutoka kwa nchi hizi ili angalau timu yetu ya taifa ianzekwa kucheza fainali a kombe la mataifa ya Afrika ambapo mara ya mwisho ilikuwa ni 1980.
 
Golden Boot Standing.

1. Harry Kane-England/Striker==>6 goals (Winner)

2. Antoine Griezmann-France/Striker==>4 goals

3. Romelu Lukaku-Belgium/Striker==> 4 goals

4. Denis Cheryshev-Russia/Midfielder==> 4 goals

5. Cristiano Ronaldo- Portugal/Striker==> 4 goals

6. Kylian Mbappe-Lottin- France/Striker==> 4 goals.
 
Nimefurahi sana.maana France wamakonde wenzangu wapo.
Hivi unajua kama Untiti tunashea babu yani babu yake na babu yangu ni baba mmoja kabisaa kwa maana baba yangu anamuita baba yake Untiti baba mkubwa....kisa cha kuitwa Untiti alikuwa anapenda sana fujo ndo wakamuita mzee wa Ntiti sema kaenda ufaransa ndo kajiita Umtiti
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] daah.damu ya afrika ile.
Imepotea.tumebaki kufanana nao rangi tu.
Ila ni wafaransa weusi.
 
Ushabiki maandazi huu mnatia aibu kwa kweli; Ufaransa ingechukua kombe 2008 mngebana pua na kusema " ooh, wametumia miaka 10 kuandaa timu", wangechukua 2013 mngesema wametumia miaka 15 kuandaa timu, basi ilimradi kujipendekeza tu.
 
Duh!! Raisi wa CROATIA anaweza kugombea u miss na kupata.

Pamoja na umri wake wa miaka 50 lakini bado ni mama ambae yupo "fit" tu akiwa na umbo ambalo kwa kiingereza twaita "Curvaceous figure".

Pia mama huyu pamoja na kuzungumza ki-Croatia, pia anazungumza kiingereza, kihispania na kireno na anaelewa mtu akiongea Kijerumani, kifaransa na Kitaliano.

Marvellous!
 
Mods Naomb mnielekeze namna ya Ku ignore uzi mzima, na mlivyo na sifa mmefanya kuuweka kwenye trending
 
Weka pesa yote uliyonayo leo Croatia ndio mabingwa.

Utanikumbuka, usuchezee utajili huu huwa hauji mara mbili.

Majinga yote yanaamini Ufaransa leo ndio bingwa kumbe wapo gizani.
hahaa ukiirudia comment yako utaona jinsi unavyojitusi mwenyewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…