Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Acha maswali ya kichochezi.Alitolewa na nani belgium?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha maswali ya kichochezi.Alitolewa na nani belgium?
Oya Saida said katuma uzii mwingine hukoo anauza mashuka. Unatuzingua tu huku.Nilijua tu baada ya kuona fainali ni Ufaransa na Croatia nikajua Bingwa anaweza kuwa Ufaransa au Croatia na hatimaye kweli kati ya hizi timu mmoja kawa Bingwa.
I wish to have that Hug too from Croatia President!
Muongo huyo ni MofayaTVNisaidie jamani kuna mtu tunabishana nae hapa.
Eti TBC si ndio walipewa tenda ya kurusha mpira ule duniani na hata Supersport walikuwa wanachukua matangazo kutoka kwao.
Betting ni hatari kwa afya yako na 'mifuko' yako pia. Ha ha haaaa!Mods fungeni huu uzi tunatiana njaa tu, wanaoendelea ku comment wapen BAN ya maisha
[emoji848] [emoji848] [emoji848] Mofaya Tv nayo ilikuwa inarusha?Muongo huyo ni MofayaTV
Hivi unajua kama Untiti tunashea babu yani babu yake na babu yangu ni baba mmoja kabisaa kwa maana baba yangu anamuita baba yake Untiti baba mkubwa....kisa cha kuitwa Untiti alikuwa anapenda sana fujo ndo wakamuita mzee wa Ntiti sema kaenda ufaransa ndo kajiita UmtitiNimefurahi sana.maana France wamakonde wenzangu wapo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] daah.damu ya afrika ile.Hivi unajua kama Untiti tunashea babu yani babu yake na babu yangu ni baba mmoja kabisaa kwa maana baba yangu anamuita baba yake Untiti baba mkubwa....kisa cha kuitwa Untiti alikuwa anapenda sana fujo ndo wakamuita mzee wa Ntiti sema kaenda ufaransa ndo kajiita Umtiti
Ushabiki maandazi huu mnatia aibu kwa kweli; Ufaransa ingechukua kombe 2008 mngebana pua na kusema " ooh, wametumia miaka 10 kuandaa timu", wangechukua 2013 mngesema wametumia miaka 15 kuandaa timu, basi ilimradi kujipendekeza tu.![]()
Ufaransa wanashinda tena kombe la dunia baada ya miaka 20.
Ufaransa walinyakuwa ubingwa wa kombe la dunia mwaka 1998 ambapo kocha wa sasa Didier Deschamps akiwa na akina Thiery Henry na Zinadine Zidane waliwashangaza Brazil kwa magoli mawili ya harakaharaka kabla ya kufunga goli la tatu.
Belgium wakti huo ailikuwa imetolewa kwenye hatua ya makundi na kurudi kwao Brussels.
Ufaransa na Ubelgiji wametumia miaka ishirini kuziandaa timu zao na matunda yake yameonekana leo, Ufaransa bingwa na Belgium wakishika nafasi ya tatu.
Chama cha soka Tanzania kisisite kuomba ushauri wa kitaala kutoka kwa nchi hizi ili angalau timu yetu ya taifa ianzekwa kucheza fainali a kombe la mataifa ya Afrika ambapo mara ya mwisho ilikuwa ni 1980.
Duh!! Raisi wa CROATIA anaweza kugombea u miss na kupata.
hahaa ukiirudia comment yako utaona jinsi unavyojitusi mwenyewe..Weka pesa yote uliyonayo leo Croatia ndio mabingwa.
Utanikumbuka, usuchezee utajili huu huwa hauji mara mbili.
Majinga yote yanaamini Ufaransa leo ndio bingwa kumbe wapo gizani.