Nnaraha sana kwanza Jf is back piliMkuu naona una raha hadi zinamwagika [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaka huu timu isiyotabiriwa ndo mabingwaKwa niaba ya Mo salah napenda kumtakia unganiko jema S . Ramos na wenzake Ronaldo na Mess pale Eapoti.
Ahsante
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]My National teams in Fifa World Cup 2018.
1. Brazil
2. England
3. Portugal
and all teams from Africa.
Povu ruksa.!
Napenda sana apatikane bingwa mpya. Croatia itapendeza zaidi au ubelgiji.Mwaka huu timu isiyotabiriwa ndo mabingwa
Mwaka huu timu isiyotabiriwa ndo mabingwa
[emoji817][emoji817][emoji817]facts!!Jamaa zangu home baada ya mechi za mizunguko kufikia 2,2 niliwaambia tunaweza kushuhudia fainali kati ya Croatia na Mexico.
Ngoja tuone game ya leo na kesho.
KGB [emoji735]Wachezaji wa Urus walihaidiwa kupewa nuclear bomb,
Haha Naskia wachezaji wote wa Urus ni (KGB) msishangae kombe likabaki Russua.
Kwema kabisa dada, shemeji kiukweli tulikukosa sana kwa muda mrefu karibu tena.Nzuri kaka shemeji,kwema?
Mpk muda huu bingwa ni anonymous!!!Michuano hii imejaa surprise. Kitu chochote kinaweza kutokea kwa mtu yoyote
Mpk muda huu bingwa ni anonymous!!!
Croatia washarudishaUmeona? Denmark ashampiga mtu kidude dakika ya pili tu
Daah!Umeona? Denmark ashampiga mtu kidude dakika ya pili tu
You were in deep dreams when you posted this(A) In reality Kombe lipo hapa..
-Germany
-France
-Argentina
-Spain
(B) Strong competitors
-Russia(charity begins at home)
-Belgium
-Uruguay
-Colombia
-Portugal
-Brasil
(C)Unexpected poor performers
-England
-Croatia
-Poland
-MexicoT
(D)Tourist-Like teams
-All African teams
-Peru
-Saudi Arabia
-Denmark
-Sweden
-South Korea
-Panama
-Costa Rica
Nb: u can add more ....